Frequently Asked Questions
Ili kupata tiketi kwa njia ya mtandao fanya yafuatayo:
- Nenda Kwenye tovuti ya Kampuni www.mscl.go.tz
- Ingia kwenye mfumo
- Chagua eneo unapotoka na unapokwenda
- Chagua tarehe ya safari, aina ya urai na idadi ya wasafiri
- Kisha bonyeza kitufe cha Tafuta
- Chagua sehemu ya kukaa